Pakua Habari

Onesha kichujio cha hali ya juu
Matokeo ya Utafutaji: 67 mechi zilizopatikana
Lifeword

Nini Hasara Ya Kukaa Nje Ya Yesu
What a Loss of Staying Out of Jesus
Na: Rev. Daniel Mayunga
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Septemba 02, 2021
Show Neno Uzima
Lifeword

Nini Maana Ya Kujikana
Nini Maana Ya Kujikana
Na: Rev. Tumaini Mihalalo
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Septemba 02, 2021
Show Neno Uzima
Lifeword

Kujizuia Nafsi Kuna Maana GANI
What Does Self-Control Mean?
Na: Eliya Sizya
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Septemba 02, 2021
Show Neno Uzima
Lifeword

Yusuph Mtu Mwenye Haki
Yusuph Mtu Mwenye Haki
Na: Ruben Tiaga
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 18, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:13:28 min.
Ukubwa
12MB
MP3
Lifeword

Kwanini ni Vyema Kutembea na Mungu.
Kwanini ni Vyema Kutembea na Mungu.
Na: Rev. Joseph Silbeti
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 15, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:14:34 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je Mtu Anaweza Kuishi Maisha ya Ushindi
Je Mtu Anaweza Kuishi Maisha ya Ushindi
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 15, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:14:32 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Nini Mwanzo wa Taifa la Israel
Nini Mwanzo wa Taifa la Israel
Na: Rev. Daniel Mayunga
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 15, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:15:14 min.
Ukubwa
14MB
MP3
Lifeword

Kwanini Tumkimbilie Bwana
Kwanini Tumkimbilie Bwana
Na: Rev. Tumaini Mihalalo
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 15, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:14:34 min.
Ukubwa
13MB
MP3
Lifeword

Kwanini Kusikiliza Neno la Mungu
Kwanini Kusikiliza Neno la Mungu
Na: Eliya Sizya
(Radio Uhai FM Station)
Aired on Januari 15, 2021
Show Neno Uzima
Muda
00:14:41 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Ni mhimu kujua Nyakati na Majira mbali mbali
Wakati huu tulio nao ni wakati wa kumpokea Yesu. Watu watambue nyakati na Majira. Nyakati ni majira katika matukio mbali mbali. Tuna wakati wa masika na kiangazi, kila wakati una matukio yake. Ukitembea kwa kuzijua nyakati utakuwa na furaha.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:41 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Yesu aliulaani Mtini
Ni mpango wa Mungu kwa kila kiumbe hai ni kuwa na matunda. Yesu alisema kila tawi lizaalo hulisafisha na lisilozaa hulisafisha. kwa hiyo wakristo wote tunatakiwa kuzaa tusipozaa tutatupa nje hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:51 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Maombi yanayobadili Hatima yako
Yabesi alizaliwa katika mazingira magumu. heshima yake inakuja kwa kuwa alikuwa na Imani katika Mungu wake. Ukiwa na imani katika Mungu wako kila utakachoomba utapata.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:23 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Mawazo mabaya huathiri maisha ya Kiroho
Kaini kutokana na mawazo alifikia hatua ya kuuwa lakini pia Anania alifikia hatua  ya kufa kutokana na Mawazo mabaya. Mawazo mabaya yanaharibu wokovu.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:57 min.
Ukubwa
21MB
MP3

Je, KunaUwezo wa ki Mungu katika yale tunayoyatamka?
Tunauwezo katika yale tunayoyasema. Kuna uwezo mkubwa wa kiutendaji katika yale tunayoyatamka. kaitka uwezo wa ulimi wa mtu kuna nguvu kubwa ya uumbaji wa jambo.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:57 min.
Ukubwa
21MB
MP3

Umuhimu wa kufufuka kwa Yesu Kristo
Bila yesu kufufuka tusingekuwa na Ukristo leo. Kufufuka kwa yesu ndo kumetupa nguvu ya Ukristo. Kwa hiyo ukristo uko katika kufufuka kwa Yesu Kristo.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:14 min.
Ukubwa
18MB
MP3

Ni kweli kutakuwa na Ufufuo siku ya Mwisho?
Ufufuo upo kwa kuwa kuna siku ya mwisho  na Bibilia inasema kuwa Kristo atakapokuja wote waliolala mauti watafufuliwa. Kwa hiyo ufufuo upo.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:47 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Nini Maana na Neno Pasaka?
Pasaka ni ukombozi baada ya kuja Yesu. Akafa kwaajili yetu hivyo yeye akawa Pasaka.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:39 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Kwa Nini Mungu Huangalia Moyo?
Kwenye moyo ndiko kwenye hazina. Kwenye moyo ndiko kuna kila kitu. Linda sana moyo kuliko vyote ulindavyo. Ibada ya mtu iko kwenye moyo. Hii ndo maana Mungu huangalia Moyo.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:52 min.
Ukubwa
19MB
MP3

Sisi ni Kinga iliyonyakuliwa na Mungu
Wakristo wote wamenyakuliwa na Mungu kutoka katika Tanuru la Moto yaani kutoka katika mamlaka ya shetani. Ukiwa na Yesu unakuwa na King dhidi ya shetani.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:15 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Je, Mungu anapenda watu waende Jehanam?
Mungu amewapa uhuru wa kuchagua kwenda Mbinguni au Jehanamu kwa hiyo mtu ana haki ya kuchagua yeye mwenyewe.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:51 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Jicho lako lisikome kumlilia Mungu
Usiache kumuomba Mungu mahitaji yako, ili akubariki na kukulinda. Anataka umkumbuke kila wakati.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:44 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Kwa nini Herode aliposikia Yesu kazaliwa afadhaika?
Herode katika ulimwengu wa Roho anamuwakilisha Shetani. Shetani hakupenda kazi ya Yesu duniani alijua anakuja kuwaokoa watu.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:41 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Roho ya Bwana Haishindani na Mwanadamu
Mwanadamu ni kazi ya Mungu amemuumba kitu ulichokitengeneza huwezi kushindana nacho unaweza kukiharibu wakati wowote.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:37 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Usiipende Dunia
Yesu akaawambia wanafunzi wake huwezi kutumikia ma Bwana wawili lazima utampenda huyu na kumchukia huyu. Alikuwa anatuonya juu ya uovu ulioko Duniani.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:20 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Paulo na Sila
Tunamshinda Shetani kwa Neno la Ushuhuda. Kusudi la kuwatoa usiku ni kutaka kuficha watu wasiwaone na kuwaeleza yaliyotokea. Walitaka watu wasijue kabisa.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:19 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Je, yatupasa Kumshukuru Mungu wakati wa Shida?
Wanadamu wamezoea kuyaona mema. Mfano wa mke wa Ayubu alitaka Ayubu amtukane Mungu ili afe. Hatutakiwi kukasirika kwa mabaya yanapotukuta.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:31 min.
Ukubwa
20MB
MP3

Nini maana ya kuwa Mshirika wa Mungu
Kuwa Ushirika ni kuungana na kuungana kunakamilishwa na ubatizo. na ndani yake anakuwa tabia ya ki Mungu.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:34 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Kazi ya Yesu katika Maisha Yetu
Watu wako katika pande mbili kuu: Kuna wengi hawatambui na kuna baadhi wanatambua ndo wale waliookoka. Lakini walio wengi hawatambui.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:21 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Jina lipitalo Majina yote
Yesu alipewa jina hili kwa kuwa alipewa na Mungu mwenyewe na alipewa jukumu la kuokoa watu nadhambi zao. Jina Yesu ni mwokozi
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:13 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Wokovu ni sasa
Kuokoka siyo baadaye ni sasa kwani baada ya kifo ni hukumu.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:23 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Lifeword Shows

Click show name below for all episodes
MAOMBI YA KUJIUNGA
CHANGIA SASA