Omba. Toa. Fikia Dunia.

Tangu mwaka 1965, washirika wenza wametoa msaada wakati mmoja na sadaka za mara kwamara kwa Nenouzima. Bila ya misaada hiyo,
huduma isingeweza kutumia teknolojia ya juu zaidi ili kuhubiri injili kwa mtu yeyote anayepata huduma ya Intaneti au masafa ya redio.

Katika miaka 53 ya utangazaji, wasikilizaji hawajawahi kusikia maombi ya mchango, na hawatasikia kamwe. Misaada yote ya kifedha huenda moja kwa moja kuzalisha programu za injili kwa kutumia vyombo vya habari vyote vinavyopatikana ili waweze kusikika na watu bilioni nane duniani.