Hati miliki 2016-2019 Lifeword
Lifeword
Je Kuna Mahali pa Mateso?
Eliya Sizya
(Radio Uhai FM Station)
Muda: 00:14:41 Minutes
Listens:
0
Aired on Aprili 24, 2020
Show Nino Uzema

Maandiko

Luka 16:22-25

“Basi, huyo maskini akafa, nao malaika wakamchukua, wakamweka karibu na Abrahamu. Na yule tajiri pia akafa, akazikwa.23 Huyo tajiri, akiwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona Abrahamu kwa mbali na Lazaro karibu naye. 24 Basi, akaita kwa sauti: ‘Babu Abrahamu, nionee huruma; umtume Lazaro angalau achovye ncha ya kidole chake katika maji, auburudishe ulimi wangu, maana ninateseka mno katika moto huu.’25Lakini Abrahamu akamjibu: ‘Kumbuka mwanangu kwamba ulipokea mema yako katika maisha, naye Lazaro akapokea mabaya. Sasa lakini, yeye anatulizwa, nawe unateswa.

Is there a place of suffering after finishing here on earth / after death?

habari nyingine katika mtiririko huu