Hati miliki 2016-2019 Lifeword
Ni mhimu kujua Nyakati na Majira mbali mbali
Joseph Silibeti
(Lifeword)
Muda: 00:13:41 Minutes
Listens:
148
Aired on Desemba 12, 2018
Show Neno Uzima

Maandiko

Mdo 2:16-18, Malaki 3:7

Wakati huu tulio nao ni wakati wa kumpokea Yesu. Watu watambue nyakati na Majira. Nyakati ni majira katika matukio mbali mbali. Tuna wakati wa masika na kiangazi, kila wakati una matukio yake. Ukitembea kwa kuzijua nyakati utakuwa na furaha.

habari nyingine katika mtiririko huu