Pakua Habari

Onesha kichujio cha hali ya juu

Usifurahi Adui yangu Niangukapo Nitasimama Tena
Wale wanaofurahi pale maadui wao wanapoanguka wajue jambo hilo ni la Muda tu litaisha na mafanikio yanakuja.
Na: Tumaini Mihalalo
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:41 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Mungu anataka akutoe katika Gereza Lako
Gereza la mambo mabaya ambalo limekuzunguka na kukufunga kupitia Jina Yesu unaweza kufunguliwa leo.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:59 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Zijue kanuni za kufanikiwa kiroho na kimwili
Mafanikio Mazuri huja kwa mtu anayemtanguliza Mungu kwanza. Mtu huyu atabarikiwa kutokea Duniani hadi Mbinguni.
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:25 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Kuna Faida katika kumtegemea Mungu
Kuna faida kubwa katika kumtegemea Mungu. Usipomtegemea Mungu unakuwa kama fukara nyikani
Na: Daniel Mayunga
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:37 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Usiogope
Silaha kubwa ya Adui ni hofu. Ukiwa na hofu shetani anafaulu lakini hatutakiwie kuogapa kwa kuwa ulinzi wa Mungu ni mkubwa kuliko kitu chochote.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:15:00 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Liko Tumaini
Kuna watu wanatamani leo wajiue, waaachike lakini usifanye hivyo liko Tumaini kwaajili yako ambalo ni Mungu kupitia Yesu Kristo.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:46 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Mungu wetu ni Wokovu?
Mungu hajamuacha Mtu, Mungu ana okoa kila mtu ukimkaribisha.
Na: Renatus C. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:50 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Je, Mungu atahukumu dhambi?
Mungu atahukumu dhambi pamoja na watenda dhambi. Watu hawahofu juu ya dhambi lakini lazime wajue dhambi itahukumiwa kwa kuwa anaichukia dhambi.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:38 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Nini Maana  ya  Kuokoka?
Watu wengi wanasema hakuna kuokoka.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:40 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Ili Mtu aweze kuokoka anahitaji kufanya nini?
Ili mtu aweze kuokoa anahitaji kumpokea Yesu kuwa bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Na: Eliya Sizya
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:55 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Ili Kanisa lipendeze Linahitaji nini?
Ili kanisa liwe na mvuto na lipendeze linahitaji liwe limeunganishwa na Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu na litii Misingi ya Biblia ambayo ni Neno la.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:46 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Je, Usalama wako uko wapi?
Usalama wa Mtu uko katika kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:42 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Wakristo wanajua Baraka Zao?
Wakristo wengi hawajui kwamba baada ya kuokolewa Mungu ametukabidhi Baraka zote za rohoni na mwilini.
Na: Andrea A. Nangi
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:33 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Wokovu na Maisha ya Imani
Mungu atabaki kuwa ni Mungu kwa sababu anajitosheleza na haya tunaamini kwa Imani.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:47 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Hali ya Kanisa Ulimwenguni
Kanisa ni kusanyiko la watu wa Mungu na siyo Jengo na sasa limeanza kupoteza mwelekeo Duniani kwa sababu ya mafundisho ya uongo.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:00 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Anguko la Adam and Eva
Madhara ya dhambi ya Adamu na Eva ni makubwa.
Na: Joseph Silibeti
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:04 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Dhambi ina malipo?
Ndiyo dhambi inamalipo kutokana na matendo ya mtu.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:13:46 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Je, Damu ya Yesu inaweza kusafisha Dhambi
Damu ya Yesu inaosha dhambi zote. Inasamehe dhambi.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:14 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Mamlaka ya Yesu
Yesu anamamlaka yote mpaka uumbaji. Mamlaka ni Uwezo, ni kila kitu. Yesu halingani Mamlaka na watawala wa Dunia hii.
Na: Gelard Johnas Mayori
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:15:03 min.
Ukubwa
14MB
MP3

Maombi
Maombi kitu mhimu sana katika maisha ya Mkristo. Maombi ni mazungumzo na Mungu.
Na: Rev. Cosmas B. Kanunu
(Lifeword)
Aired on Desemba 11, 2018
Show Neno Uzima
Muda
00:14:31 min.
Ukubwa
13MB
MP3

Lifeword Shows

Click show name below for all episodes
MAOMBI YA KUJIUNGA
CHANGIA SASA